Kaka vingi sana,mfano ukichukua kingsoft office au polaris ukacompare na microsoft office.Microsoft office hauwezi kubold,hauwezi kiweka italic,hauwezi kubadilosha font,hauwezi kuweka indents,hauweI kisave formats tifauti,hauwezi ku set pahe sizes.Lakini ukichukua hizo nyingine ziko rich sana,microsoft office nawaona wazuri tu kwenye pc ila simu kama hawataki vile kuenda na wakati au ushindani.Ukichukua polaris mpaka unaweza kucomand ikasoma yote uliyoandika kwa sauti,kama ni kiinhereza inasoma yoye kama mti anaongea live.Mimi mpaka kazi zangu za office ambazo niserious natumia hizo nyingine lakini siyo microsoft office.
Yaani chief siku ile mna discus window phone mlini impress sana nikatafuta lumia 830,sasa hivi najuta nataka nirudi kwenye android..
office ni office mkuu hakuna altrrnative ya mictosoft office unless unasoma tu hutengenezi.
na umetumia office ipi ya microsoft yenye feature chache? na kitu gani kwengine kipo na ms office hakuna?