ok, sasa hapo hapo kwenye hiyo site kwa juu kulia utaona sehem ya kusearch, we andika office 2013 then search itakuletea na za 32 bit!Shukran kaka ila naona kama hiyo ni ya 64 bit mi kangu ni 32 itakubali?
Shukran kaka ila naona kama hiyo ni ya 64 bit mi kangu ni 32 itakubali?
Gates anaendelea kuwa juu