Microsoft Office 2010(Beta)


Yo Yo

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Messages
11,246
Likes
95
Points
0
Age
36
Yo Yo

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined May 31, 2008
11,246 95 0
microsoft_word_2010_beta.jpg

Ikipewa code Office 14 toleo jipya kabisa la MS word ikichukua nafasi ile MS 2007....ina vitu vizuri hasa kwenye user interface uptodate....ni kununua copy ya MS 2007 orijino from now mpaka Sept utakuwa eligible kuwa upgradde to MS 2010....Usinunue ebay....kama ukinunua ebay basi ur technically Disqualified kwenye updation hii...

Hii nini kwa wanaotimia Windows XP SP3 (32-bit), [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Windows_Vista"]Windows Vista[/ame] SP1[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Windows_7"]Windows[/ame]7
 

Forum statistics

Threads 1,236,038
Members 474,926
Posts 29,244,378