Ni SIM locked yaani single network AIRTEL tu au ?
Kama ni hivyo ! Kwa bei hiyo watapoteza muda !
leo nimesoma gazet la mwananchi la tar. 11 june,nimekutana na habari ya cm ya x & xl zinapatikana office za AIRTEL TZ,kwa bei ya sh.300,000/= kwa xl na 250,000 kwa nokia x.ni taarifa tu wadau,ahsanteni.
wAlanguzi ndugu mteja nenda coda shop simu ya XL ni laki mbili na 40, X no laki mbili kamili