Wadau naomba mnijuze simu ipi aina ya Microsoft lumia naweza kupata kwa tsh 200,000 au chini ya hapo iwe na sifa zifuatazo ram 1gb internal 8gb au zaidi camera quality na battery inayodumu na charge. Asante
tatizo hio budget huwezi pata android nzuri, ila kwa matumizi yako unatakiwa upate simu ya android yenye display nzuri.
ujue lumia sasa hivi hazitengenezwi tena microsoft wanahamia muelekeo mwengine hivyo hata hizo browser za internet baadhi wamesitisha support kama vile opera.
ila still ni simu nzuri na imara.
upo comfortable na simu used? simu galaxy j5 ingekufaa sana kwa matumizi hayo.