Microsoft Ending its Short-Lived Tenure as Android Phone Maker

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,701
Reaction score
2,613
Microsoft imetangaza Nokia X zitahamia Windows Phone na hivyo kuwa mwisho wa kutumia operating system ya Android ya mpinzani wao Google.


 
swali hizo nokia x zitapata update ya wp au? au ndio support imeisha
 
Finally, they actually surpassed my expectation. I didn't expect them to make a successor to the original Nokia X. It was just a matter of time anyways.
 
naona na future phone pia zimepigwa panga, i hate american companies
 
Makampuni makubwa ya masoftware ni ya kimarekani sasa kama unawahate umekwisha

linux, meego, tizen, sailfish, maemo, ubuntu, firefox, android(aosp), na mengineyo. zipo os kibao za kutumia ila sikuwa namaanisha software bali namaanisha hardware msft kutotengeneza s40 na featurephone ina maana kutakuwa hakuna simu za tochi wala simu zozote za nokia chini ya laki 2, zile asha na simu nyengine za java zote hazitatengenezwa ina maana unabaki na wachina tu. even hao wachina watakuwa hawana mtu wa kumcopy tegemea pia bidhaa zao kushuka viwango.
 
Nokia kaua sana os nyingi, nadhani microsoft wamelishitukia hili, uwepo wa nokia android ulikuwa unatishia os ya WP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…