Microphone nzuri ku-record Video za ku-upload Youtube

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
Wakuu

Naona tutorial nyingi Youtube sauti iko clear sana na inasikika vizzuri
Na hapa zile ambazo mtu anafanya SCREEN Recording ya Laptop yake au huku anaelezea anachokifanya
sasa nilitaka hii makitu nimenunua Headphone fulani lkn ile video nikisikiliza kwa bila headphones sauti haisikiki au inasikika kwa mbali lkn nikivaa hizo headphone nilizototumia kitu inasikika

Kwa mwenye kujua hatupie Picha au hata Jina la kifaa hicho hata kama Bongo hakipatikani

THANKS
 
lumia 1520, 1020, HTC one (version ya zamani) zote zinatumia microphone za haac ambazo zinatoa noise na kufanya sauti I we clear. hizi simu zinarekodi had I club/uwanja wa mpira hivyo hazina tatizo kwenye kufanya sauti yako iwe clear ukichukua video za YouTube.

pia kuna microphone za kawaida ambazo zinacancel noise cha muhimu we we Google hizi keyword "NOISE CANCELATION MICROPHONE" zitakuja kibao kwa price ya kawaida kama dola 12..

hii hapa maarufu yake inaitwa Olympus
31Bd-6EJrcL._SX200_.jpg
 
Japo sikuwa clear kenye swali langu

In short mm naongelea zile Video ambazo nakuwa narecord SCREEN ya Computer yangu na maneno ninayo Ongea
Kifaa gani kitaniaidia kutoa Sauti iliyo clear na itakayo sikika vizuri

sijui kama iki kinafa kwa hii case au kinafaa kwa Wale wanaochukua Videos kwa Video camera
 
Labda tatizo lipo kwenye unavyo recodi, angalia software unayotumia kama inakuruhusu kucheza na settings za volume ya kurekodi, na of course avoid makelele kama feni na AC unaporekodi. Naamini headset yoyote ya Logitech inatosha kwa YouTube tutorials.
 
nahisi sauti ya FAN inachangia sana kusababisha kuwepo na katika hiyo video
 
Wakuu

Naona tutorial nyingi Youtube sauti iko clear sana na inasikika vizzuri
sasa nilitaka hii makitu nimenunua Headphone fulani lkn ile video nikisikiliza kwa bila headphones sauti haisikiki au inasikika kwa mbali lkn nikivaa hizo headphone nilizototumia kitu inasikika

Kwa mwenye kujua hatupie Picha au hata Jina la kifaa hicho hata kama Bongo hakipatikani

THANKS

Binafsi nakushauri utumie microphone hii ya Blue Microphones Spark Condenser Microphone, Cardioid

sC_b004br20om-pr0d01lg.jpg

Ni the best microphone for voiceovers and livestream ambayo ina deliver low noise, high efficiency, and rapid response in any recording situation. Microphone hii haipatikani hapa bongo hivyo kama unaihitaji itakubidi uiagize nje ya nchi.
 
njunwa wamavoko jaribu kuepuka kelele wewe mwenyewe kwanza kabla ya kutafuta mic nyingine. Hakikisha kelele kama za feni, mziki kutoka kwa majirani, na hata wewe mwenyewe unapoongea jaribu kuingoza sauti yako.

Nimepata cha kuuliza hapa. Nimejaribu kutumia screen video recorder kadhaa lakini zinatoa output size kubwa mno. Mnaweza kushauri ambayo inatoa size ndogo lakini katika quality ya hali ya juu.
 
Last edited by a moderator:
Japo sikuwa clear kenye swali langu

In short mm naongelea zile Video ambazo nakuwa narecord SCREEN ya Computer yangu na maneno ninayo Ongea
Kifaa gani kitaniaidia kutoa Sauti iliyo clear na itakayo sikika vizuri

sijui kama iki kinafa kwa hii case au kinafaa kwa Wale wanaochukua Videos kwa Video camera

hebu ona hio picha huoni kama ni kifaa cha kuchomeka kwenye PC?
 
Ok nimekisoma mkuu nahisi hiyo pin ka inawekwa tundu la microphone
Pia nimeona kuna HEADSET zina noise cancellation nahisi pia zitanifaa
Asante kwa mchango wako
 
njunwa wamavoko jaribu kuepuka kelele wewe mwenyewe kwanza kabla ya kutafuta mic nyingine. Hakikisha kelele kama za feni, mziki kutoka kwa majirani, na hata wewe mwenyewe unapoongea jaribu kuingoza sauti yako.

Nimepata cha kuuliza hapa. Nimejaribu kutumia screen video recorder kadhaa lakini zinatoa output size kubwa mno. Mnaweza kushauri ambayo inatoa size ndogo lakini katika quality ya hali ya juu.

Mm natumia SNAGIT sijui wewe umeijaribu
Ila kuhusu video size sijanotice kama kuna difference labda useme ukirecord e.g 5mins video unapata MB ngapi ili na ss tujaribu tuone huku
 
Last edited by a moderator:
Mm natumia SNAGIT sijui wewe umeijaribu
Ila kuhusu video size sijanotice kama kuna difference labda useme ukirecord e.g 5mins video unapata MB ngapi ili na ss tujaribu tuone huku

.
You Tube channel yako kiongozi?
.
 
Mm natumia SNAGIT sijui wewe umeijaribu
Ila kuhusu video size sijanotice kama kuna difference labda useme ukirecord e.g 5mins video unapata MB ngapi ili na ss tujaribu tuone huku

Hii sijawahi kuitumia ngoja niifatilie then ntaleta feedback pamoja na softwre nyingine nlizowahi kutumia.
 
njunwa wamavoko hii SNAGIT ni sawa na Camtasia?

Mi nataka ambayo ni freeware

Duuh!Hiyo keys zake zipo

Swali langu lilikuwa je video size unapata ipi na ni video ya dakika ngapi?
Ukirecord 5mins video na mm huku nika record tutapata majibu
 
Last edited by a moderator:
Duuh!Hiyo keys zake zipo

Swali langu lilikuwa je video size unapata ipi na ni video ya dakika ngapi?
Ukirecord 5mins video na mm huku nika record tutapata majibu

nlikuwa natumia ezvid ngoja ni install tena halafu nirekodi fastafasta then nakupa feedback
 
haina jipya mkuu
ndo nataka kuiwekea nakshi nakshi

.
Haina mbaya mkuu hata kama ntakuta blanc tu mi nta Roger That
.
Kama hauja mind kuiachia hapa mi hata kwa pemben tu nta ridhika
.
Regards
C++
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom