Microfinance sector

Microfinance sector

Fan boy

Member
Joined
Mar 6, 2022
Posts
24
Reaction score
14
Habari za leo wanaJF
Mimi swali langu la leo nalielekeza kwenye sector ya mikopo midogo midogo maarufu kama microfinance.
1. Je kwa Tanzania tuna aina gani za microfinance institutions? N
2. Ni procedure zipi za kufuata kama unataka kuanzisha microfinance instititutions?
Kama yeyote mwenye uelewa na hizo mambo naomba tujuzane na pia kama kuna thread imewahi kutolewa unaweza kunilink. Natanguliza shukrani zangu. Aksanteni
 
1. Sijaelewa maana naona swali lako lipo kwa ujumla.
2. Ukitaka kuwa na microfinance institution ni lazma ufuate haya;
A. Usajili kampuni BRELA
B. Uombe kibali/leseni Benki kuu ya Tanzania kwa ajili ya shughuli hiyo.

Kwa upande wa BRELA utasajili kampuni ambapo unapaswa kuwa na;
1. Wanahisa kuanzia wawili
2. Mtaji tarajiwa (kuanzia 20M)
3. NIDA za wanahisa
4. TIN za wanahisa
5. Anuani na makazi ya wanahisa
6. Anuani na mahali pa ofiis ya kampuni.
7. Ada ya usajili wa kampuni(hii inatofautiana na mtaji utakaotaja.
8. Shughuli za kampuni ambayo inapaswa kuwa kufabya shughuli za microfinance pekee hupaswi kuchanganya na shuguuli nyingine
9. Jina la kampuni linatakiwa kuishia na either microfinance, credit, micro credit, etc

Kwa upande wa kibali cha BoT unahitaji;
1. Tax clearance ya kampuni
2. Ada ya usajili 500,000/-
3. Uthibitisho wa chanzo cha mtaji

Kama huwezi kufanya hayo yote hapo juu karibu nitakusaidia kwa gharama nafuu na kwa haraka.

0755963775 calls/WhatsApp
 
haya tupe gharama zako hapa tujipime
 
haya tupe gharama zako hapa tujipime
Gharama zangu kwa usajili wa kampuni ni Tsh 500,000/- ambayo itahusisha;
1. Uandaaji wa memart
2. Filing BRELA
3. Kuhakikisha unapata usajili na certificate ndani ya siku 3.

Kupata kibali cha BoT ni maelewano iwapo una nyaraka zote zinazohitajika ama nitajitaji kuzipambania mwenyewe.
 
Sasa boss kibali BoT mbona umetenga na msaada wa kusajili sasa shida kuu ni akamilishe hilo jambo au kuna uzito hapo?
 
Mkuu hapo BoT ni pamoto sanaa hakuna kona kona na ndio maana sijaweka gharama ninayocharge kwani kuna situations tofauti tofauti nyingi zinazoweza kuathiri charging.

Ila ninaamini nimetoa taarifa zote muhimu kuhusu masuala ya usajili. Kazi imebaki kwenu wadau kwenda mbele kupambana ama kama unaona huwezi basi unipe pesa yako nikufanyie😂😂😂😂😂.

Kila la kheri mkuu
 
BOT awana Mchezo kazi kazi! So All Docs lazima ziwe za uhakika
Asante mkuu kumbe unawatambua😂😂😂😂.
Kuna mdau mmoja alinitolea maneno ya kebehi kuwa tunapenda kula hela za bure humuhumu JF basi nikampa taarifa za yote yanayohitajika kama nilivyofanya hapo juu na link kabisa ya BRELA mbona baada ya wiki alinipigia mwenyewe.

Ni vema tukakubaliana kuwa sio kila mmoja anaweza kufanya kila kitu kwa ubora maana kuna nafasi ya uzoefu katika kila jambo.
 
Mkuu hapo BoT ni pamoto sanaa hakuna kona kona na ndio maana sijaweka gharama ninayocharge kwani kuna situations tofauti tofauti nyingi zinazoweza kuathiri charging.

Ila ninaamini nimetoa taarifa zote muhimu kuhusu masuala ya usajili. Kazi imebaki kwenu wadau kwenda mbele kupambana ama kama unaona huwezi basi unipe pesa yako nikufanyie.

Kila la kheri mkuu
Sawa mkuu, nimekupata ila kama hutojali limit zako kwa makadirio sh ngapi hadi ngapi
 
Mimi kutokana na complexity ya mteja ndio itaamua niifanye kazi kwa gharama ya kati ya 400k hadi 1M huwa sizidi hapo kwa kibali cha BoT pekee.
Japo kila agent anacharge kivyake kutokana na nature ya mteja ma hali halisi ya documents anazotakiwa kuzipambania mwenyewe.

Mfano kuna mteja anakufuata anakwambia tu 'nataka kampuni ya microfinance iliyo tayari kwa kazi' hapo lazma gharama zitakua juu sana tofauti na mwingine ambaye baadhi ya mambo atafanya mwenyewe na mengine ufanye agent.
 
Okay chief. Tupo pamoja
 
Shukrani san wadau kwa michango yenu chana! Nadhani nimeelewa aksanten sana
 
1. Sijaelewa maana naona swali lako lipo kwa ujumla.
2. Ukitaka kuwa na microfinance institution ni lazma ufuate haya;
A. Usajili kampuni BRELA
B. Uombe kibali/leseni Benki kuu ya Tanzania kwa ajili ya shughuli hiyo.

Kwa upande wa BRELA utasajili kampuni ambapo unapaswa kuwa na;
1. Wanahisa kuanzia wawili
2. Mtaji tarajiwa (kuanzia 20M)
3. NIDA za wanahisa
4. TIN za wanahisa
5. Anuani na makazi ya wanahisa
6. Anuani na mahali pa ofiis ya kampuni.
7. Ada ya usajili wa kampuni(hii inatofautiana na mtaji utakaotaja.
8. Shughuli za kampuni ambayo inapaswa kuwa kufabya shughuli za microfinance pekee hupaswi kuchanganya na shuguuli nyingine
9. Jina la kampuni linatakiwa kuishia na either microfinance, credit, micro credit, etc

Kwa upande wa kibali cha BoT unahitaji;
1. Tax clearance ya kampuni
2. Ada ya usajili 500,000/-
3. Uthibitisho wa chanzo cha mtaji

Kama huwezi kufanya hayo yote hapo juu karibu nitakusaidia kwa gharama nafuu na kwa haraka.

0755963775 calls/WhatsApp

Shukran kaka! Nitakutafuta
 
Back
Top Bottom