Umeenda kukata bima ya afya. Menye bima anaingiza chip yako kwenye mtambo wake - anagundua unavuta sigara 7 kwa siku, kwa sababu ulitumia kuredit card kununua, chakula unachokula ni kibovu, mazoezi hamna. Urefu wa maisha yako unakadiriwa kwamba ni mwaka mmoja! Unaambiwa samahani mama, sogea dirisha la tano, maana ulipo hapa ni kwa uhai wa daraja la kwanza.