Nipo tanga kwa sasa ila next week nina mpango wa kwenda dar es salaam. Nina hitaji kama kuna mtu anaweza kunitengenezea micro sim card kwa bei rahisi. Au mniagizie sehemu wanayo tengeneza. Asanteni

Chukua mkasi ukate mwenyewe, mpaka uende Dar kwa ajili ya kukata line? Pia kuna micro sd catter zinauzwa mpk elfu15 unaweza kuwa unajikatia line zako kiurahisi sana, na hata kuirudishia ili iweze kuingia kwenye simu za kawaida ni rahisi!