figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,487
Leo saa 8:00 Mchana Usikose michuano ya SportPesa ikihusisha vilabu vikubwa kutoka Tanzania na Kenya MUBASHARA ITV na EATV.
Mechi ya pili kuanzia saa 10:15 Jioni , Yanga ya Tanzania dhidi ya Tusker ya Kenya zitachezwa ktk uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.
Mechi zitakazochezwa leo ni AFC Leopards ya Kenya dhidi ya Singida United ya Tanzania, Saa 8:00 mchana.