Naambiwa imeanza jana viwanja vya Karume, Dar es Salaam ikishirikisha vijana chini ya umri wa miaka 17.
Nimejaribu kusaka taarifa mitandaoni sioni, lakini nina imani redio za hapa nyumbani zinatoa taarifa. Kwa yeyote anayeweza kutupa updates hapa afanye hivyo...