Kuonyesha Raman humu sheria/ board inakataza mkuu . Ila kama unataka maelezo kuanzia michoro , makadirio na ujenzi fika ofisini mikocheni 0714 707000 .
Kwanini mtu aonyeshe michoro hapa?
Wapo wanatumia njia hii then inaiba plan ya michoro na mhusika hapati kitu, lakini ikiwa mhusika ameamua kujitolea kufaidisha wana jf hii ni habari nyingine