Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
Habari zenu wana jukwaa. Kama nilivyoeleza hapo kwenye kichwa cha habari ni kwamba...
Tv yangu ni mpya aina ya LG imepata michirizi kadhaa kwenye kioo siku chache zilizopita nilikuwa sijui ndio nimekuja kuigundua leo wakati najaribu kuisafisha.
Kwa kumbukumbu zangu inaonesha ni mtoto ndiye aliyeichubua na kitu chenye ncha kali, sasa naomba kujua kama nitaweza kupata screen nyingine au kama hizi huwa zinakuwa na karatasi la niron ambalo linabaduliwa? je bei ya spea ya screen ya LG nitapata kwa bei gani kwenye maduka ya nyumbani hasa ya pale kariakoo?
Nawasilisha.