INGENJA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 4,990
- 4,266
Mwanza unaitwa Dama sijui maeneo mengine wanauitaje,baadhi yakanuni kigae kikikaa mstarini umebau(kushindwa)au ukikanyaga mstari,pia kunamuda unatakiwa kuweka kigae mguu moja huku mwingine ukitumika kuruka vyumba...nice tulienjoy sana kipindi hicho
palikuwepo mchezo ambao unachora chini vyumba vyumba halafu unarusha kipande cha kigae na kisha unakisukuma kwa mguu toka chumba kimoja hadi kingine. Halafu unatembea katika hivyo vyumba huku umefumba macho na kila hatua moja unauliza wenzako "Am I right?" ingawa kwakweli tulikuwa tukisema "Marait?". Ulikuwa ni mchezo unaompa mtoto changamoto na pia ni mazoezi mazuri sana. Sijawahi kuuona sasa miaka mingi kabisa.