fredito13
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 213
- 146
Enzi zile wakati tunakua, tulikua na michezo mingi sana
Kombolera (kwenye mahindi), magari, Unacho (kidalipoo), gololi, Kula tumbakishie baba, Kibaba baba, marede, Tobo dunda, kiboreni, mdako, kuendesha maringi n.k.
Cha ajabu sion watoto wa siku hizi wakicheza hiyo michezo. Nin kimewasibu?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums