MICHEZO YA SHIMMUTA

MICHEZO YA SHIMMUTA

Salia Mdavadi

Member
Joined
Jun 23, 2017
Posts
64
Reaction score
35
Habari za jion wajemani
Kuna michezo ya taasisi za umma na makampuni binafsi yana itwa Shimmuta
Hii michezo imefunikwa na rushwa sana yaani viongozi wake ni nirushwa tu kira wanachofanya
Tunaomba TAKUKURU wamurike hiki chama
Maana sasa kimekuwa shida kubwa hasa kwa kipindi hiki ambacho michezo yake inaendelea hapa Iringa
 
Inawezeka hao viongozi wana kadi za kijani, siku hizi ni kama "shield" au kibali cha uovu pasi na hofu
 
Hivi hii Tanzania ya viwanda na ubanaji wa matumizi unapatikana wapi huo muda wa mtumishi kwenda kucheza? na garama za hiyo michezo nani analipa? michezo inayoendana na utumishi ni yake mazoezi ya kila jumamosi ya kutembea/ kukimbia ambayo hayatumii gharama. Wewe umeshaajiriwa halafu unautafuta u messi au ronaldo. Chagua moja kazi au micheo
 
Back
Top Bottom