Michepuko vs Waliopo kwenye ndoa

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
Wakuu,

Mwagikeni hapa eti ni wapi zaidi kati ya michepuko au kwa yule ulie nae kwenye ndoa? Yupi anakuchanganya na kwanini? Mwenye uzoefu na hii mambo atujuze
.
 
Mkeo anaweza kukuvumilia either ukiishiwa au vinginevyo lkn mchepuko ukiishiwa anachepuka kivyake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…