Michepuko iwe na ukomo wa mamlaka katika ndoa!

Michepuko iwe na ukomo wa mamlaka katika ndoa!

Vitalis Msungwite

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2014
Posts
3,313
Reaction score
7,961
Ndugu wanachama wa chama cha wachepukaji Tanzania(CCWT), CHAPUTA, wanaume wa Dar, wanaume wa mikoani na wanajukwaa kwa ujumla, habari zenu.

Leo kama kiongozi mwandamizi wa CCWT naomba kutoa tahadhari. Kumekuwa na wimbi la kuongezeka kwa wanachama na vitendo vya uchepukaji Dar na mikoani.

Kuongezeka kwa wanachama inaonesha ni jinsi gani chama hiki kilivyo na umuhimu katika afya ya ndoa. Lakini suala la kutokuwa na kiasi katika kuchepuka ndilo lililonileta hapa jukwaani.

Imefika kipindi mchepuko anakukontro wewe, mkeo/ mmeo, watoto mpaka na maisha yako!!.

wanawake ndo balaa, wanaweza kuambiwa huu mwezi nitakupiga mbupu Mimi tu hakikisha mmeo hakugusi na wakatii. Au mwanaume akajinunisha wiki nzima hajui watoto wanakula nini kisa mchepuko!!.

Hapana kwakweli hebu tuwe na balance, tuchepuke lakini nyumbani kusitikisike. Ukikuta mchepuko anatikisa ndoa yako, temana nae mapema kabisa.

Mtu anafikishwa mpaka mahakamani kwasababu ya kutohudumia familia kisa mchepuko!. Badilikeni, jitahidini kula na vipofu maisha yenyewe ndo haya haya.




Barafu la moto
 
Sijui kwann miwanaume michepukaji haikutanaga na wanawake mafia yan mwanaume afanyiwe unyama wa aina yake akili ziwe zinawakaa sawa
 
Sijui kwann miwanaume michepukaji haikutanaga na wanawake mafia yan mwanaume afanyiwe unyama wa aina yake akili ziwe zinawakaa sawa
Ndio hivyo. World is not fair kabisa. Mbaya anakutana na mzuri.. mzuri anakutana na mbaya. Ni nadra sana wote wakakutana.

Hiyo tabia sifagilii kabisa. Kuchepuka si sifa nzuri kabisa. Maana mwisho wa siku mara nyingi unakuwa si mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikioa sitegemei kuchepuka..

You may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Ndio hivyo. World is not fair kabisa. Mbaya anakutana na mzuri.. mzuri anakutana na mbaya. Ni nadra sana wote wakakutana.

Hiyo tabia sifagilii kabisa. Kuchepuka si sifa nzuri kabisa. Maana mwisho wa siku mara nyingi unakuwa si mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app

It takes a real gentelman to understand this and act ryt infront of hiz woman...
 
Kuchepuka ni imani na ni siri ya mtu, ukijua mchepuko wa mtu ujue wapo mwishoni. Usishangae hata mke/ mme wako yumo ila hajashikwa masikio tu, na mtumishi wako je? Sio kila kitu ni cha shetani, tumia kichwa kufikiri.
Mtoa mada ni wakala wa shetani ndiyomaana anahalalisha uchepukaji, hajui kilichompata Nabii Suleimani ni hiyo hiyo michepuko hadi akamuasi Mungu wake na kuabudu miungu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Barafu la moto
 
Hahahahahahahaaaa calm down, nani kakuambia wanaume pekee ndo huchepuka? Usijipanikishe hapa, wanaojua kinachoendelea wanakushangaa tu.
Kwan ni lazima wanaume muwe na michepuko?!mnajiendekeza mambo ya kijinga...
Yan mnaipa ngono priority kuliko uhai wenu...mkafie mbele huko

Barafu la moto
 
Back
Top Bottom