Michepuko Gharama jamani

Michepuko Gharama jamani

Naka boy

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
321
Reaction score
110
Yaaan aisee jamani michepuko gharama asee asikuambie mtu.Vinywaji,chakula, usafir ,, hivyo vyote unatumia pesa,, alaf bade ndio uje ule Tunda sasa,, hapo ni Lodge tena ni pesa..
 
kwani mkeo huwa anapewa na nani hizo huduma?
 
Yaaan aisee jamani michepuko gharama asee asikuambie mtu.Vinywaji,chakula, usafir ,, hivyo vyote unatumia pesa,, alaf bade ndio uje ule Tunda sasa,, hapo ni Lodge tena ni pesa..

Ulitaka vya bure?wanaomuhudumia demu wako sijui mkewako nao wanalalamika gharama
 
Back
Top Bottom