Miche ya strawberry

Miche ya strawberry

Ninayo kama mapambo, mbeya,niliitoa swiden.sidhani kama Dar itastawi
 
Mwenzenu ninatafuta miche ya zabibu zisizokuwa na mbegu katika matunda yake. Tafadahali sana mwenye kuwa nazo, au.kufahamu zinakopatikana hapa nchini. Asanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom