Hii ni siri yenye laana kama tupu ya mzazi/ kwa roho mkunjufu sitoruhusu utunduwazi/ sizungumzi na mwana na zungumza namba mzazi/ huu uzungu wa kuzaa ni kama ruzuku ya Jambazi/kumbuka! wema watoto wakwepe mkosi/ baba ananyumba ndogo kigezo kubwa haitoshi/anazuga anakupa sapoti yuda askaryoti/ pochi inashinda kwa mchumba bi kubwa ale karoti!/
ONE.