Nikiwa mkoa wa Katavi jana nilijulishwa kuhusu kero ya askari wa kikosi cha zimamoto,askari awa upita kwenye vioski,maduka,bar ,guest houses etc na kukusanya ushuru wa shillingi elfu 50 kwa madai ya kuwa ni malipo ya huduma ya zima moto kwa mwaka,swali langu ni kuwa je hiyo michango mbona sehemu nyingine hatujaisikia,je ni halali?je bila huo mchango hutapata huduma ya kuzimiwa moto?na kama nikichangia wakachelewa kuja kuzima huo moto ninayo haki ya kulipwa fidia?Kero nyingine ni kuwa hao askari ni zaidi ya traffic kwa kukusanya vijisenti kwa magari yasiyokuwa na fire extinguishers.
Mwaka jana gari kubwa la fire lilipata ajali mbaya na kuharibika likiwa brand new,fedha zilizotolewa millioni 80 kwa ajili ya ukarabati zimetoweka.
Mwaka jana gari kubwa la fire lilipata ajali mbaya na kuharibika likiwa brand new,fedha zilizotolewa millioni 80 kwa ajili ya ukarabati zimetoweka.