Michango ya pesa walizotoa Wabunge ililipa rambirambi kwa ndugu wa walioangukiwa na mti. Hayo si maneno yangu bali ni kwa mujibu wa ripoti ambayo Mkuu wa Mkoa ameitoa (ipo humu itafute).
Maswali la kujiuliza;
1. Je, wabunge walikuwa wamelenga hivyo?
2. Baada ya mabadiliko hayo madogo (ambayo yamefanywa kwa nia njema tu), je, Wabunge walijulishwa kuwa hela yenu tumewapa walioondokewa na wapendwa wao kwa kuangukiwa na mti?