Michango ya Shule ya mlimwa Secondary Dodoma.kwa form 1 wote.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Mlimwa Secondary.
Shule hii ipo kata ya mnadani.
Kwa form 1 wote wanaotarajia kujiunga na Shule hyo.

Mchango wa tahadhari-5000
Mchango wa Ujenzi-15000
Mchango wa Taaluma-10000
Mchango wa kitambulisho-5000
Mchango wa Nembo -2000
Mchango wa Tshirty-5000
Karatasi bunda 1
Mchango wa Maendeleo-10000
Mchango wa bili ya Maji-4000.@1
Mchango mshahara wa mlinzi-5000
Namba za Mkuu wa shule.ni 0756084703 kwa maelezo zaidi.
Dawati moja-60000
Hyo michango ni halali.
Source ni form yao ya kujiunga.
 
Uckubali kutoa mchango wwte zaid ya ada umenielewa..?, nimeisha ongea nae huyo mwl. Mkuu wa Mafisad
 
Huku Tanganyika michango ya namna hiyo ni kwa kila shule ya serikali (kata). Nawashangaa mnaoshangaa!
 
Huku Tanganyika michango ya namna hiyo ni kwa kila shule ya serikali (kata). Nawashangaa mnaoshangaa!
Shule kama inawanafunzi.300 ukzdsha mara 4000,kama mchango wa bili ya maji?
Zdsha mara 5000 pesa ya mlinzi..
Kuna mlinzi analpwa mil 1.5 shule ya kata hu si wizi
 
Shule kama inawanafunzi.300 ukzdsha mara 4000,kama mchango wa bili ya maji?
Zdsha mara 5000 pesa ya mlinzi..
Kuna mlinzi analpwa mil 1.5 shule ya kata hu si wizi

Nadhani hii michango inatolewa mara 1 kwa mwaka...

so mlinzi analamba 125000 kwa mwezi
 
Back
Top Bottom