MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,247
Kama msosi wa pale harusini haushibi mkuu wewe sio wa mchezo mchezo,Ndugu zangu naomba niende kwenye Mada huska
Kiukweli kuna jambo linaniumiza Sana hasa swala la michango ya ndugu wanao owana
Kimsingi hua wanagawa card ili tuwachangie fedha ili wafanikishe sherehe yao
Cha ajabu unakuta Single unaambiwa uchangie 45.000 au chini ya hapo km itakuwa Dabo basi Dau linaongezeka
Mwisho siku ukienda kwenye sherehe unakuta unapewa chakula ambacho ni saizi ya mtoto wa Miaka 2
Unakula ila hushibi
Ndugu wadau hii imekaaje au ni Mimi tu sishibagi vzr
Mbarikiwe, karibuni mchangie hoja, povu lina ruhusiwa
Kama msosi wa pale harusini haushibi mkuu wewe sio wa mchezo mchezo,
Picha linaanza unapewa mtori wa kuzugia,huku sherehe inaendelea kuna soda,juice,bia au maji yanapita mezani,
Harusi ikishanoga ile mida ya msosi kuna wali mweupe,pilau, ndizi nyama Rost,kuku Robo,njegere, sambusa ya nyama, N.K na bado haushibi mkuu.?
Single 100,000
Double 150,000

Misosi kwenye harusi mtu wa kanda ya ziwa hawezi shiba labda wawe wanajisevia wenyewe hapo itabidi na muandaaji wa chakula naye sasa alipwe mara tatu maana ile kanda watu wanakula aisee hakuna cha mtoto, mwanamke , wanaume sasa ndo balaa utadhani mashindano au siku inayofuata ameambiwa hakutakuwa na chakula.
Ni tatizo kwa kweli, Hyo 70 ukiingia bar unatoka ukiwa una yumba yumbaMimi kinachoniuzi unakuta umechanga elf 70 yako af ukifika pale unaambulia soda Malta, na maji ayyyyy yaani hakuna hata ka bia
Misosi kwenye harusi mtu wa kanda ya ziwa hawezi shiba labda wawe wanajisevia wenyewe hapo itabidi na muandaaji wa chakula naye sasa alipwe mara tatu maana ile kanda watu wanakula aisee hakuna cha mtoto, mwanamke , wanaume sasa ndo balaa utadhani mashindano au siku inayofuata ameambiwa hakutakuwa na chakula.
Tena siku 5 mfululizo mkuu yaani wanavyochangisha wanasema kila kitu kitakuepo shangaa ukifika ukumbini wanaleta tena ulokole me naona ni upigaji tu maana maji majisoda na Malta jumla ni elfu 5 mia tano na ni vinywaji ambavyo huwezi kunywa zaid ya ki mojaNi tatizo kwa kweli, Hyo 70 ukiingia bar unatoka ukiwa una yumba yumba
samahani mkuu ile kadi imeandikwa mchango wa harusi na sio mchango wa kula kwenye harusii!!Ndugu zangu naomba niende kwenye Mada huska