Michango ya harusi Dar by force by power

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,027
Reaction score
52,501
Dar bwana unashangaa mwanaume amekuzoea ghafla.anajileta bana anajileta tena hakujui humjui unasema mtu kanielewa nini? unamshukuru Mungu mkeka wa wa maombi kumi na mbili kwa mwamposa umetick mapema kabla ya juni maana kwenye mkeka tatu bora pale umeandika future husband awe hata anapumua tu akili mtatumia hata za jirani.

Ile unajipanga kwenda kutoa ushuhuda anakupa kadi ya mchango wa harusi umchangie
Kumbe alikuwa anatafuta connection tu apate mchango maana ashakuzoom laki au sabini ya single sio shida zako.

Kama huna D Mbili za roho mbaya lazima utoe unajua kuna watu tumeumbiwa haya kumyima mtu kitu unaona aibu yaani ukijichanganya ukampa na urafiki unaisha hata hyo Kadi ya mwaliko unaweza usipate anakuona kama nyanya mbichi.

Watu wa dar jamani ni feki sana especially men. Hivi unapotezaje utu wako kisa mchango wa harusi.

Mama Samia tawala milele hawa viumbe.
 
Yaani me WA dar anaomba mchango was harusi Kwa ke!!?

Mama hebu hama huko dar!!njoo mkoani aiseh!!
 
πŸ™‚ πŸ™‚ unamiaka mingapi na unawatoto wangapi?...ungeenda kutoa ushuhuda tu kwamba umepata muujiza wa kuombwa mchango wa harusi.
 
πŸ™‚ πŸ™‚ unamiaka mingapi na unawatoto wangapi?...ungeenda kutoa ushuhuda tu kwamba umepata muujiza wa kuombwa mchango wa harusi.
 
Hapo kwa Mwamposa umenigusa Sana. Ubarikiwe Sana.
 
Sisi wa kizazi cha kale mtuache, hatutaki usumbufu wa kuombwa mchango wa harusi. Harusi zetu tulijichanga wenyewe kulisha wahudhuriaji
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…