Michango kwenye makundi ya WhatsApp

Kwa hiyo inakuwa kama mfungwa vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu ni hatari sana mtu mmeachana miaka hiyo yote huwezi jua mabadiliko ya mtu kitabia miaka inabadilisha sana watu. Unaweza kupigwa na bonge la tapeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu ni kwa bahati mbaya sana kwenye hayo makundi ya whassap kuna tatizo la “ majority ignorance “

Yani watu wamekariri mambo sijawahi onaga.

Mfano kuna mtu amefiwa au kafa eti wanalazimisha kupanga kiwango fulani cha mchango kuanzia mfano 50,000/- na kuendelea [emoji87][emoji87][emoji87]

Ukiwauliza kwanini mnapanga hivyo hawana jibu la maana ni ushabiki usio na maana hasa.

Mimi huwa nawauliza kwani maana ya neno rambi rambi ni nini hasa?

Kama siyo mchango wa hiyari wa pole kwa kadri mtu alivyojaliwa?

Kwanini mtake kuweka viwango fixed?

Kila mtu kwa nyakati mbali mbali anaweza kupitia mambo kadhaa mwingine anauguliwa, anajenga, ana mikopo n.k

Kwanini ushabikie michango ya lazima.?

Wapumbavu sana!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣😂
Na mkome wasapu wasapu mnajiunga mavitu mengine hamjui hata ya kazi gani nawe umo tu ndo mpambane na hali zenu..😎
Mjumbe haujiungi bali mtu anaunda group kisha anaku add alafu unakuta mna heshimiana sana ku left unaona soo kana kwamba ataona umemdharau. Alafu unaweza left mkavunjiana heshima kabisa hata msisalimiane kabisa.
 
Mjumbe haujiungi bali mtu anaunda group kisha anaku add alafu unakuta mna heshimiana sana ku left unaona soo kana kwamba ataona umemdharau. Alafu unaweza left mkavunjiana heshima kabisa hata msisalimiane kabisa.
Acha kutumia wasapu kama huiwezi kuepuka Mambo hayo!
Au tumia akili ya ziada ktk kutumia
 
Hatare. Hao unakuta ni wanachama wa chama pendwa.
 
Bila kupepesa macho, wewe ni antisocial
Hapana. Mimi naishi kwenye present zaidi. Watu imagine tumesoma primary miaka 20 iliyopita yaani ni vile tu WhatsApp imetukutanisha tena sio physical contact. Wanataka tuishi kama vile tupo kijiji kimoja sijui michango ya harusi sijui rambirambi.Wakati nina watu tunasaidiana katika hayo physically.
 
Bibie hujambo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…