Tunawashukuru wote mliotuchangia kwa mwaka 2009, list ipo hapa:
Ieleweke kuwa SI LAZIMA kuchangia JF, maana wengine nimeona wakilalamika kuwa wanatozwa hela hapa. Hatuna lengo la kuanza kutoza mtu hela na wote wanaoonakana kwenye hii list ni kuwa wamefanya hivyo kwa hiari zao na mapenzi yao kwa JF.
Aidha, tunashukuru kwa wote ambao mmeendelea kuwa pamoja nasi bila kulazimishwa na yeyote kuchangia gharama za uendeshaji, mpaka sasa waliochangia kuanzia Januari 1, 2010 ni wafuatao (kwa mpangilio walivyoanza kuchangia):
Tangu niandike mchango wa mkuu Arsene Wenger kuna wengine wamechangia mpaka leo:
Undisclosed - Tshs 20,000/=
MpendaTz - Tshs 100,000/=
Undisclosed - USD 50.00
Undisclosed - Tshs 50,000/=
Baba Asia - Tshs 300,000/=
Obi - Tshs 15,000/=
Wakuu tunashukuru kwa michango yenu. Ambao wameandikwa 'Undisclosed' hawakutaka majina yao yaandikwe lakini kwakuwa tunataka kuweka records sawa basi tumeonelea ni vema kuandika kiasi kilichochangwa. Shukrani sana wakuu.
Leo tumepokea michango toka kwa wakuu wawili, mdau mmoja hakutaka jina lake litajwe kachangia Tshs 5,000/= na mwingine ni Kosmio kachangia Tshs 10,000/=.