Hakeem makamba
Senior Member
- Apr 15, 2011
- 123
- 41
Hivi huyu jamaa ana matatizo gani kiasi cha kuelekea kukataliwa kila aendako? TFF, Mara na sasa Simba kote wanaonyesha kutokumtaka.
Wanaomjua vizuri hebu tujuzeni.Kulikoni?
Wanaomjua vizuri hebu tujuzeni.Kulikoni?