Dig a hole, bury yourself
go ahead, keep goin
It's amazing Marekani imejaa wasomi lakini wameshindwa kujiconvince kufunga virago, is it arrogance? Kama jmushi1 ulivyosema, Obama anawapa wanachotaka, mnatapa kupigana ok. I hope hao marines wamejifunza ku-ride camels. Pakistan here we come, baada ya hapo, Iran, Yemen, Somalia, Sudan....yeah, and we don't stop, we won't stop......na nyie wabongo msilete fyokofyoko, tumewasikia mnakwenda kwa kila castro, we are watching u.
Mzalendo.
N.B Unaujua ule msemo, 'when the only tool you have is a hammer, everything you see around is a nail', or something like that? Ndio marekani hao, wameinvest kwenye military hardware, kila tatizo wanadhani solution yake ni kutandika watu.