Tumeshuhudia mastaa kadhaa waliotengeneza mamilioni ya pesa kutokana na vipaji vya uchezaji, na wengi wao wameishia to file bankrupt ni kutokana na kutokuwa makini kufanya investiment yenye tija kwa ajili ya future. Lakini huyu jamaa haonyeshi kutetereka.