Safi sana mkuu
BAK
Ni ajabu kuona eti binadamu mmoja anamdhihaki binadamu mwingine kua eti ni mzee!!
Hiyo ni safari ambayo wote ndio tuendako huko kama Mungu atatujaalia uhai mrefu,
Hizi chuki hazijengi,tufanye kazi na kutafuta good life,ukisha mdhihaki binadamu mwenzio tena eti kwa uzee unafaidika nini? Unakua na maisha mazuri?
Huyo unayemdhihaki anahasarika kitu?! Unaweza ukawa na muonekano mbaya kwasababu nyingi tu hata kama umri wako ni mdogo,mfano maradhi,ajali na mengineyo,
Kila binadamu anayo haki ya kuheshimiwa ndani ya jamii,
Ukitaka kuheshimiwa kwanza jiheshimu kisha heshimu wenzako.