Je Nape wetu ataomba immunity atueleze goli la mkono lilipigwaje? Tunafurahia ya wenzetu hapa mhu tunasema uchaguzi umeisha maisha kwenda mbele. Wanaotufundisha demokrasia wao mpaka kieleweke kwa nini tusijifunze na hilo tujue na vijana walionyang'anya laptop zao zilipelekwa wapi na mbona hatukujua waliishia wapi baadaye. Na wale wa Lumumba mbona hawakukamatwa? Tuna safari ndefu kufikia kwa wenzetu miaka kama mia mbili hivi toka sasa.
Kweli, sisi kwa generation hii hatutabadili kitu sababu watu wakiona mtu anakwenda upinzani hata kumsalimia wanaogopa wanadhani ni mkoma. Nimeona Airport watu wanaogopa kuongea na viongozi wa upinzani as if ni watenda dhambi. Lakini ilikuwa hivyo wakati wanabadili mifumo Uingereza. Kumbuka Cromwell alifikiri anabadili lakini akaja kuwa dicteita akamweka mwanawe ambaye alishindwa ikrudisha kingdom. Urusi waliua Tzar lakini ukiangalia waliopo ni wabaya zaidi ya yule Tzar waliyemuua na wizi ni zaidi na ukandamizaji hatari ambao naona tusipoangalia tutafika huko.Wengi tunatamani sana na chaguzi zetu zingekuwa na uwazi/ufuatiliaji kama huu pale ambapo kuna kasoro za wazi kabisa ambazo zinaweza kuwa sababu ya kubadili matokeo. Bado tuna safari ndefu sana ya kufika huku waliko wenzetu na hali hii inasababishwa na kundi dogo la watu kuweka mbele maslahi ya chama chao badala ya yale ya Tanzania na Watanzania,
Hii nchi si kichwa cha wendawazimu ktk soka tu ni katika vyote,tupo tupo tu.Je Nape wetu ataomba immunity atueleze goli la mkono lilipigwaje? Tunafurahia ya wenzetu hapa mhu tunasema uchaguzi umeisha maisha kwenda mbele. Wanaotufundisha demokrasia wao mpaka kieleweke kwa nini tusijifunze na hilo tujue na vijana walionyang'anya laptop zao zilipelekwa wapi na mbona hatukujua waliishia wapi baadaye. Na wale wa Lumumba mbona hawakukamatwa? Tuna safari ndefu kufikia kwa wenzetu miaka kama mia mbili hivi toka sasa.