johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mahakama ipi bongo ambayo inajitegemea/huruNauliza tu Kwa Nia njema
Kwanini Kesi kafungulia Mahakama ya London, UK badala ya CMA au Mahakama ya Kazi Tanzania?!
Jumaa Mubarak ππΉ
Rostam huyu huyu Aziz? πΌTafuta clip ya Rostam utapata majibu yote
Tanzania kuna mahakamaKwani tz kuna mahakama au vibanda vya mahakimu kusubiri dili toka ccm
Jibu lako utalipata iwapo utajiuliza maswali ya kwanini wale wengine walioshinda kesi zao za migogoro ya kibiashara au kimikataba ya kimataifa na aidha serikali ya Tanzania au taasisi za ki Tanzania kesi zao zilifunguliwa nje ya nchi na wakasikilizwa na kupata haki zao....Nauliza tu Kwa Nia njema
Kwanini Kesi kafungulia Mahakama ya London, UK badala ya CMA au Mahakama ya Kazi Tanzania?!
Jumaa Mubarak ππΉ
DED Namtumbo πππJibu lako utalipata iwapo utajiuliza maswali ya kwanini wale wengine walioshinda kesi zao za migogoro ya kibiashara au kimikataba ya kimataifa na aidha serikali ya Tanzania au taasisi za ki Tanzania kesi zao zilifunguliwa nje ya nchi na wakasikilizwa na kupata haki zao....
Na bila shaka ni kwa sababu MILLICON/HONORA/TIGO TANZANIA ni kampuni ya kimataifa na inafanya shughuli zake za kibiashara Tanzania kwa sababu ya mikataba ya uhusiano wa kimataifa kama IGA, MIGA, MA nk ambayo Tanzania tumesaini...
Wewe johnthebaptist mwajiriwa ukiingia mgogoro na mwajiri wako Mkurugenzi wa Namtumbo District Council, utaenda mahakama za kazi Tanzania...
Lakini kama umeajiriwa na Geita Gold Mines na ukaingia mgogoro nao, unaweza kuwashitaki kwenye mahakama ya usuluhishi wa kibiashara huko duniani...
Ndivyo ilivyo kwenye hili la TIGO na Mr. Michael Clifford. Hapa sio issue ya ujasusi Bali ni ishu ya kisheria na haki ya mtu...
Hakuna ubaya kama iko hivyo Ili mradi havunji sheria yoyote ya nchi au ya kimataifa....Michael and Lissu, by any mean, walikaa pamoja wakajadili wakaona kwa hili watazipiga fedha, in connection deal
Tigo ni International Business Entity inashtakiwa popote paleNauliza tu Kwa Nia njema
Kwanini Kesi kafungulia Mahakama ya London, UK badala ya CMA au Mahakama ya Kazi Tanzania?!
Jumaa Mubarak ππΉ
Ndiyo kuna mahakama za ushuruhishi pia alikuwa mfanyakazi wa Scotland yardNauliza tu Kwa Nia njema
Kwanini Kesi kafungulia Mahakama ya London, UK badala ya CMA au Mahakama ya Kazi Tanzania?!
Jumaa Mubarak ππΉ
Scotland YardNdiyo kuna mahakama za ushuruhishi pia alikuwa mfanyakazi wa Scotland yard
Rejea kauli ya Rostam kuhusu mahakama bongolandNauliza tu Kwa Nia njema
Kwanini Kesi kafungulia Mahakama ya London, UK badala ya CMA au Mahakama ya Kazi Tanzania?!
Jumaa Mubarak ππΉ
Nimeambiwa alikuwa Scotland YardUnatakiwa kujua kwanza Yeye ni nani, aliajiriwa na nani, na alikuwa ana majukumu gani pale Tigo, alifanya wapi kabla ya kuwa Tigo.
Mahakama ya usuluhishi haitwi Scotland yard , bali Scotlandyard security ni taasisi bobezi kuchunguza mbinu chafu zilizo fanywa ama kufanywa kwa siri wamewekeza vifaa na lasirimali watuScotland Yard