Michael Bloomberg suspends his campaign

Michael Bloomberg suspends his campaign

Mkuu Kuna Chuma Kinaitwa Maxine Waters ni Mbunge wa California kwenye House of Representatives!!

Naona candidates wote wa Dems ni Wapolepole ila Maxine Waters ni radical ni mama wa back to back ukitoa tusi anarudisha.

Huwaga Hakwepeshagi. Yani Sijui kwanini DNC na Nancy Pelosi hawakumuangalia huyu Bibi Kwa Jicho La Tatu. Ni Mtu wa Aina Ya Trump. Anammudu Vema Kabisa mzee baba.

Apart from huyo Bibi sijaona mtu mwengine kwa Democrats anayeweza kumshinda Trump 2020 Siyo Mla Rushwa Biden Liz Warren wala Crazy Bernie. Anyway Ngoja Tuone!
Nimeiona hivi sasa.
Ila kweli Democrats hawana mtu wa kumshinda Trump. Watatumia hela nyingi kwenye huu uchaguzi.

Atayefuata kujitoa atakuwa Elizabeth Warren

Sent using Jamii Forums mobile app
ERAXC4MNJMXXUO73ZLBDHBOXG4.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..Joe Biden yuko very "sloppy" sijui hata kwanini wale wagombea waliojitoa waliamua kumuunga mkono.

..ameokolewa na weusi wa South Carolina vinginevyo hakuna kitu chochote alichofanya ktk kampeni ambacho kinatoa matumaini kuwa ni mgombea mzuri.

..Na Joe Biden akipitishwa na democrats Trump atamshambulia kwa kashfa / rushwa ya mwanae kuajiriwa na kampuni ya gesi ya Ukraine wakati hana utaalamu wowote na kazi hiyo.
 
Dems hawana wagombea wenye ushawishi mkubwa kipindi hiki.

Bora Mama Clinton au John Kerry wangekuwepo ulingoni angalau wangemtingisha Trump.
 
Dems hawana wagombea wenye ushawishi mkubwa kipindi hiki.

Bora Mama Clinton au John Kerry wangekuwepo ulingoni angalau wangemtingisha Trump.

..democrats wamekosea kumtosa Elizabeth Warren.

..yule mama hana kashfa na mazonge-zonge kama Joe Biden [ ukraine] na Bennie Sanders [ ukomunisti].

..pia Warren ni very good orator na anajimudu vilivyo ktk debate. Trump asingekuwa na hoja za maana za kumshambulia.

..Na Warren angepewa mgombea mwenza toka jamii ya Walatino kampeni za democrats zingekuwa na msisimko mkubwa.
 
Kwangu nampenda sana trump na namwamini. He is doing great. Naona hawa demos wamekosa cha kusimamia.
Huyo mkatoliki mwenzangu atulie tuu[emoji23][emoji23][emoji119]
Hivi u.s.a na ukatoliki vinashabihiana kweli? Population ya wakatoliki ni ngapi huko?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkatoliki aliyewahi kuukwaa urais alikuwa ni John Kennedy tu na hakumaliza hata muhula sidhani kama kuna mkatoliki mwingine tena.

Marekani ni taifa la The Protestants ndio maana fursa ya wakatoliki au jamii ya imani zingine zingine kuupata urais ni finyu sana.
 
Yes. Na mimi najua hivyo2. Si rahisi kwake. Ni kama wanaona wanawatukuza waitaliano hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom