Miami hits bingwa nba

Miami hits bingwa nba

Brightest

Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
6
Reaction score
0
Wale wapenda NBA najua wengi mtakuwa mliangalia game la Miami Hits vs. San Antonio Spurs. Momambo yalikuwa hivi. Miami 95-87 San Antonio baada ya kwenda sare ya michezo 3-3 katika mechi sita za fainali. Dah sijui Bongo tunaweza kuwa na ushindani kiasi hiki?🙂
 
yeaaaah!safi sana masela wangu!
 
Back
Top Bottom