Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,341 Jun 12, 2012 #1 Chukua 259 zidisha miaka yako jawabu utakalopata zidisha 39 utapata tarakim 6 nakila tarakim 2 zitamaanisha miaka yako hebu fanya kweli uangalie kweli au si kweli NB:Kwa wenye kuanzia miaka 100 hii formula haikubali
Chukua 259 zidisha miaka yako jawabu utakalopata zidisha 39 utapata tarakim 6 nakila tarakim 2 zitamaanisha miaka yako hebu fanya kweli uangalie kweli au si kweli NB:Kwa wenye kuanzia miaka 100 hii formula haikubali
HorsePower JF-Expert Member Joined Aug 22, 2008 Posts 3,612 Reaction score 2,569 Jun 12, 2012 #2 Level said: Chukua 259 zidisha miaka yako jawabu utakalopata zidisha 39 utapata tarakim 6 nakila tarakim 2 zitamaanisha miaka yako hebu fanya kweli uangalie kweli au si kweli NB:Kwa wenye kuanzia miaka 100 hii formula haikubali Click to expand... Mkuu ni kweli unachosema, inaonekana kwenye hesabu uko njema, big up! Ila kwa umri chini ya miaka kumi, digit ya mwanzo kati ya hizo mbili ndiyo inayotaja umri wako.
Level said: Chukua 259 zidisha miaka yako jawabu utakalopata zidisha 39 utapata tarakim 6 nakila tarakim 2 zitamaanisha miaka yako hebu fanya kweli uangalie kweli au si kweli NB:Kwa wenye kuanzia miaka 100 hii formula haikubali Click to expand... Mkuu ni kweli unachosema, inaonekana kwenye hesabu uko njema, big up! Ila kwa umri chini ya miaka kumi, digit ya mwanzo kati ya hizo mbili ndiyo inayotaja umri wako.
Mfarisayomtata JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 474 Reaction score 188 Jun 12, 2012 #5 Digit 2 za mwanzo mkuu.
J jirani1 New Member Joined Nov 27, 2010 Posts 4 Reaction score 0 Jun 12, 2012 #6 elly_black said: We mkali. Click to expand... Iko safi, hata hivyo hiyo logic inakubali kwa namba kubwa kuliko 9 na ndogo kuliko 100, Great Job
elly_black said: We mkali. Click to expand... Iko safi, hata hivyo hiyo logic inakubali kwa namba kubwa kuliko 9 na ndogo kuliko 100, Great Job
KML JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 861 Reaction score 134 Jun 12, 2012 #7 dah naikumbuka io hesabu zamani sana
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Jun 12, 2012 #8 dah! Kwa sisi vikongwe wenye miaka 102 hujatutendea haki, jaribu kututafutia na sisi basi, mi nimeishia kujaribisha miaka yangu enzi nikiwa kijana
dah! Kwa sisi vikongwe wenye miaka 102 hujatutendea haki, jaribu kututafutia na sisi basi, mi nimeishia kujaribisha miaka yangu enzi nikiwa kijana