Miaka ya neema, miaka ya uharibifu

Wakuu mwaka unaelekea ukingoni, naamini kama huu ulikuwa ni mwaka wa neema kwako basi Mungu atakuongoza utazidi kuwa na neema, na neema zaidi, na kama ulikuwa bado unapita kwenye uharibifu basi Mungu na akupiganie Mwaka unaoanza uwe wa neema kwako daima. Binafsi pamoja na up and down kadhaa bado nina mengi sana ya kumshukuru Mungu.
 
[emoji120][emoji120][emoji120]aaamen kubwa sana[emoji123][emoji106][emoji115][emoji91][emoji817]
 
Amina
 
Umenigusa Kaka. 2017/8 nilipitia tanuru moja baya sana.
Mpaka Sasa hali haijakaa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…