Miaka ya neema, miaka ya uharibifu

Hivi Bro mshana, hii chumvi ukiogea chooni ni sahihi kweli,!?
Maana wengine vyoo vimeungana na bafu, au ndio inabidi niogee nje
 
Mnyama yeyote anayeishi ndani ya nyumba yako aliyetumwa kutoka shimo la kuzimu kukufuatilia... Kuchelewesha baraka zako, kuchelewesha nafasi zako za kazi, kuchelewesha utukufu wa watoto wako, kukufanya ulie kila siku na kuzuia baraka zako" hao wanyama Wasiishi kamwe kuuona mwezi wa Juni. Bwana Mungu wako atakupigania, Kwa maana wakati wako wa kusherehekea umefika [emoji120] Yatosha Yatosha,Hakuna maumivu Tena katika familia yako Katika Jina la Yesu kristo

Amen
 
Hivi hii issue ya chumvi ukioga baharini kabisa kwenye chumvi lukuki IPO applicable?
Yeah Lakini haishauriwi sana utumie ile kwakuwa sometimes maji kupwa au maji kujaa huja ama huenda na vingi
 

Yoe 2:25 SUV​

Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu.
 
Yoe 2:25-27 SUV
Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu. Nanyi mtakula chakula tele na kushiba, na kulihimidi jina la BWANA, Mungu wenu, aliyewatendea mambo ya ajabu; na watu wangu hawatatahayari kamwe. Nanyi mtajua ya kuwa mimi ni katikati ya Israeli, na ya kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu, wala hakuna mwingine; na watu wangu hawatatahayari kamwe.
 
Amen
 
Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…