Au ni ile ya kuzungushia chumvi kwenye nyumba ? Nakumbuka km ushapost uzi wa namna hyoIpate kupitia Google ama JF search post
Aaamen barikiwa zaidiAmeeen,.maisha yana mengi yakujifunza saana sana ni kutambua tuu kuwa kila jambo na majira yake chini ya jua,.ukijua hili hata wakati wa msiba unaweza tabasam ukijua kuna wakati upo nao nitacheka kicheko,..
"Neno moja nalitaka toka kwa Bwana,nalo ni hili;nikae nyumbani mwake siku zote za maisha yangu"
Amina[emoji120]Aaamen barikiwa zaidi