mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,117
Wambura yuko ndani mpk sasa.Hivi Mikael Wambura bado tu wamemng'ang'ani jela.
Kesi yake wala siisikii tena, imeishia wapi!
Topic hii imenikumbusha mambo mengi ya hovyo kwenye tasnia ya soka Tz.
Wambura yuko ndani mpk sasa.Hivi Mikael Wambura bado tu wamemng'ang'ani jela.
Kesi yake wala siisikii tena, imeishia wapi!
Topic hii imenikumbusha mambo mengi ya hovyo kwenye tasnia ya soka Tz.
AFCON tumshukuru Makonda na serikali kwa kuongea vizuri na marafiki zetu wa damu (M7) ili watulegezee.Angalau huyu tumeona Taifa Stars imecheza fainali za AFCON. Hao wengine tumeshuhudia lipi angalau moja?