BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Sijui kikosi kipi tena labda cha kukamilisha udikteta uchwara. Si alikuwemo ndani ya jeshi la wana miavuli kwa zaidi ya miaka 20 Mkuu? Na bado madudu kibao mwanzo mwisho.
Hivi nchi hii haikuwahi kuongozwa? Miaka 55 ya Uhuru unasema anapanga kikosi? Kwani tatizo limewahi kuwa ni kikosi kinachocheza ama mbinu na mfumo unaotumika?