mathcom
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,396
- 519
Habari za jioni wanaJF,
Ikiwa imebaki kama miaka miwili kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, chama cha CCM inabidi
kituoneshe maajabu kwa kuhakikisha kwamba haya mambo nitakayo yataja hapa chini yanafanyika;
1. Kuwakamata na kuwachukulia hatua watuhumiwa wote wa Ufisadi bila kubagua au kupepesa midomo, adhabu kali ikiwa ni pamoja na kuwafilisi wale watakao bainika na hatia.
2. Kuwafuatilia na kuwakamata watajwa wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya (pamoja na mtandao mzima) kuwachunguza na kuwahukumu ipasavyo, huku hukumu zao zikitangazwa mbele ya Umma.
3. Kuwakamata na kuwahukumu wanaosafirisha nyara za serikali na vitendo vingine vyote vya ujangili.
4. Kupambana na wakwepa kodi wote ambao wanalitia hasara taifa huku wakizidi kuwaumiza wananchi.
Ikiwa kama haya yanaonekana ni ndoto kwa CCM nina imani kwamba yanawezekana tena kwa urahisi tu kwa baadhi ya vyama vya upinzani hasa hasa CHADEMA
MY TAKE: Kama CCM bado inahitaji ridhaa ya wananchi, basi tunaiomba ipambane na changamoto hizi
Jee ni kweli yatatokea..