harakati za siri JF-Expert Member Joined Aug 23, 2020 Posts 1,318 Reaction score 3,559 Apr 8, 2024 #41 Kwa kweli flyovers zaidi zinahitajika, jam bado ni tatizo hasa kipindi hiki cha mvua, kuna wakati mtu anatamani gari aliache kwenye foleni ashuke.
Kwa kweli flyovers zaidi zinahitajika, jam bado ni tatizo hasa kipindi hiki cha mvua, kuna wakati mtu anatamani gari aliache kwenye foleni ashuke.
Etwege JF-Expert Member Joined Jul 4, 2018 Posts 7,945 Reaction score 19,841 Apr 8, 2024 Thread starter #42 harakati za siri said: Kwa kweli flyovers zaidi zinahitajika, jam bado ni tatizo hasa kipindi hiki cha mvua, kuna wakati mtu anatamani gari aliache kwenye foleni ashuke. Click to expand... Na ilani imejaa ma flyover kila sehemu
harakati za siri said: Kwa kweli flyovers zaidi zinahitajika, jam bado ni tatizo hasa kipindi hiki cha mvua, kuna wakati mtu anatamani gari aliache kwenye foleni ashuke. Click to expand... Na ilani imejaa ma flyover kila sehemu
Bwana Tony Cipriano JF-Expert Member Joined Nov 17, 2022 Posts 4,365 Reaction score 9,455 Apr 8, 2024 #43 Mbaga Jr said: Kwahy ulitaka tuseme samia anamalizia awamu ya tano.? Hakuna kitu kinachoitwa kumalizia muhula, muhula n rais, kila rais na muhula wake na sio vinginevyo. Click to expand... kama ni hivyo wangebadili na ilani kabisa, wanajaribu kutenga na yale yaliyofanyika katika enzi za bwana yule
Mbaga Jr said: Kwahy ulitaka tuseme samia anamalizia awamu ya tano.? Hakuna kitu kinachoitwa kumalizia muhula, muhula n rais, kila rais na muhula wake na sio vinginevyo. Click to expand... kama ni hivyo wangebadili na ilani kabisa, wanajaribu kutenga na yale yaliyofanyika katika enzi za bwana yule
Etwege JF-Expert Member Joined Jul 4, 2018 Posts 7,945 Reaction score 19,841 Apr 8, 2024 Thread starter #44 Tony Cipriano said: kama ni hivyo wangebadili na ilani kabisa, wanajaribu kutenga na yale yaliyofanyika katika enzi za bwana yule Click to expand... Hahahahha
Tony Cipriano said: kama ni hivyo wangebadili na ilani kabisa, wanajaribu kutenga na yale yaliyofanyika katika enzi za bwana yule Click to expand... Hahahahha