Wakuu Mimi ni Kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 23 hivi sasa, pia mwanafunzi wa moja ya Chuo kikuu hapa jijini na chukua shahada ya kwanza ualimu sayansi yaani bachelor of science with education mwaka wa tatu.
Wakuu lengo, la kuandika Uzi huu ni kuwa Nina project proposal kwa wamiliki wa shule, proposal ambayo inaonesha kwa jinsi gani na ipi shule inaweza kuwa Bora ndani ya Miaka minne shule inakuwa best na ina enroll wanafunzi wengi.
Kwa wakurugenzi wa shule na wakuu walio humu karibuni in-box ili tuweze kushare ideas hizi nazotaka kuziuza.