ooh nawewe hujapata mungu atakujalia uatapata soon ila usimkatae atakayekuja kwa mara ya kwanzaAtakuja tuu,mie mpaka leo bado sijampata wa kunipenda ila namuomba sana Mungu aniletee wakunifuta machozi.sasa basi kama unaona mtu anakupenda basi na wewe muonyeshe ushirikiano kuliko kumpotezea muda mtu.
inaelekea unachagua sana as if ur a perfect man.ila nahisi muda ukifika atakuja tu.
ooh nawewe hujapata mungu atakujalia uatapata soon ila usimkatae atakayekuja kwa mara ya kwanza
kwaiyo ndio unamtafuta humu au?
yes hata wewe unaweza nifaa kama ni male.
jiwekuu770
Kwanza sinauhakika kama wanaume wanakitu "Kupenda" wanaume hutamani hutaka, wanawake waliowengi ndiyo wanahicho kitu "kupenda" na ni rahisi sana kumpenda mwanampe kwa moyo wote, wanaume sina neno zuri la kueleza namna wanavyomchukulia mwanamke ila hicho kinachoitwa kupendwa ni kutamani na husukumwa na kutamani kufanya tendo la ndoa,
ndiyo maana kwa wanawake watakubaliana na mimi kuwa wakitoka na mwanamme baada ya kumaliza tendo la ndoa kwa kawaida hakuna majadiliano, kama wapo nyumba ya wageni mwanaume atajitahidi waondoke huku bibie akitaka waongee mambo ya maisha, ninafikiri wewe hujapata mwanamke mrembo, mzuri n.k ila kama unasubiri hilo utangoja sana
sasa wew mbona naona ndo mnaendana na mtoa hoja hapo juu..yani ww unasubiri na mshikaji anasubiri...Atakuja tuu,mie mpaka leo bado sijampata wa kunipenda ila namuomba sana Mungu aniletee wakunifuta machozi.sasa basi kama unaona mtu anakupenda basi na wewe muonyeshe ushirikiano kuliko kumpotezea muda mtu.
inaelekea unachagua sana as if ur a perfect man.ila nahisi muda ukifika atakuja tu.
Kama mapenzi yamekushinda acha fanya kitu kingine
Oyooooo,
Mimi ni mvulana miaka 29 najishughulisha na kazi za hapa na pale zinazonipa kipato. Bila shaka unajua kupenda ni nini? Nimekua nikiona watu wakio tu kwa sababu ya umri kwenda, wengine wameoa alafu wanakuja baadae wanampenda mtu mwingne kitu ambacho sitaki kitokee kwangu.
Nimeshakua na wapenzi kadhaa lakini hamna ambae nishampenda nakua nao tu ili kunikidhia haja tena wengine ni wife material kweli kweli lakini nakua sijawapenda nawaacha. Nashindwa kuelewa yale mapenzi niliyokua nayafikiria wakati nikikua au yale ninayoyaona kwenye movie yapo kweli au vipi maana mimi sikutani hata wakunishika akili kidogo tu simuoni.
Naombeni ushauri kwenu
Nikuletee za ngapi leo?

nina shida na kilo tano. Ntakurudishia soon nirushie mpesa
wewe hutampata unayempenda kwa sababu ulijiharibia mapema ulivyopewa papuchi ya kwanza ya mtu aliyekubuhu, haukutoza sana kuzungushwa wiki ili kupata mzuka kamili ili mkikutana wote muwe hamjawahi kutumika. uenda ulivamia bwawa la mtera.