Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,120
mamaeeee, umepotelea wapi baby,sidhani kama humu kuna mtu anaweza akakupenda milele,yani sijaona mwanaume mwenye mapenzi ya dhati.
mamaeeee, umepotelea wapi baby,sidhani kama humu kuna mtu anaweza akakupenda milele,yani sijaona mwanaume mwenye mapenzi ya dhati.
g3t.....mapenzi ya kweli yanatengenezwa na siyo ready made.
Tatizo wanawake na baadhi ya wanaume wanafikiri mapenzi ya kweli yapo sehemu yametulia,,,mapenzi ya kweli yanapandwa,yanatunzwa,yanastawi na ndiyo yanaanza kuliwa..
Huwezi kusema kutafuta mapenzi ya kweli kwa mwenza wako wakati wewe mwenye cyo mkweli...
Wewe unapaswa kujiuliza; am i true to myself....?????
Acha kuangalia tamthilia za kifilipino kijana zina-script zile.
Anyway kama humuoni wa kumpenda,jipende mwenyewe tu.
Marekani
Oyooooo,
Mimi ni mvulana miaka 29 najishughulisha na kazi za hapa na pale zinazonipa kipato. Bila shaka unajua kupenda ni nini? Nimekua nikiona watu wakio tu kwa sababu ya umri kwenda, wengine wameoa alafu wanakuja baadae wanampenda mtu mwingne kitu ambacho sitaki kitokee kwangu.
Nimeshakua na wapenzi kadhaa lakini hamna ambae nishampenda nakua nao tu ili kunikidhia haja tena wengine ni wife material kweli kweli lakini nakua sijawapenda nawaacha. Nashindwa kuelewa yale mapenzi niliyokua nayafikiria wakati nikikua au yale ninayoyaona kwenye movie yapo kweli au vipi maana mimi sikutani hata wakunishika akili kidogo tu simuoni.
Naombeni ushauri kwenu
dogo wewe katafte nyasi kwanza ndo urudi huku kutangaza