hamjambo wanajamvi, nina mahusiano na bwana mmoja kwa muda wa miaka 8 sasa. between 2008-2009 tulibreak baada ya mama yangu kumkataa yeye akafunga ndoa, baada ya miaka miwili akataliakiana na mkewe akarudi tena kwangu. ila mama yangu kagoma kabisaaaaa asinioe.
kisa cha kumkataa ni hiki; alizaa na mwanamke wa kwanza lakini hakufunga naye ndoa wakaachana na yule mwanamke akaolewa. akazaa na mwanamke mwingine hawakungunga ndoa wakaachana yule mwanamke akaolewa. ndipo akafunga ndoa ila hakuzaa na huyo mwanamke mwisho wa siku wakatalikiana. sasa mama yangu kusikia hivo visa akasema huyo mwanaume hafai. upande wangu mimi pia nilizaa na mwanaume mwingine ila hatukuonana na yule mwanaume ameshaoa.
msaada wa mawazo tafadhalini.
Hembu tupe record/profile la mama yako kwanza.
Na yeye ujana wake hadi hapo alipofikia
hamjambo wanajamvi, nina mahusiano na bwana mmoja kwa muda wa miaka 8 sasa. between 2008-2009 tulibreak baada ya mama yangu kumkataa yeye akafunga ndoa, baada ya miaka miwili akataliakiana na mkewe akarudi tena kwangu. ila mama yangu kagoma kabisaaaaa asinioe.
kisa cha kumkataa ni hiki; alizaa na mwanamke wa kwanza lakini hakufunga naye ndoa wakaachana na yule mwanamke akaolewa. akazaa na mwanamke mwingine hawakungunga ndoa wakaachana yule mwanamke akaolewa. ndipo akafunga ndoa ila hakuzaa na huyo mwanamke mwisho wa siku wakatalikiana. sasa mama yangu kusikia hivo visa akasema huyo mwanaume hafai. upande wangu mimi pia nilizaa na mwanaume mwingine ila hatukuonana na yule mwanaume ameshaoa.
msaada wa mawazo tafadhalini.
Huo uzinifu wenu tukupe mawazo ya nini?
Kuna vitu vingine havinaga hata haja ya kushauri. Mtu mwenye akili timamu akiushirikisha ubongo wake kiumakini anapata majibu sawia kabisa. Kuna la kushauri kweli hapa?
hamjambo wanajamvi, nina mahusiano na bwana mmoja kwa muda wa miaka 8 sasa. between 2008-2009 tulibreak baada ya mama yangu kumkataa yeye akafunga ndoa, baada ya miaka miwili akataliakiana na mkewe akarudi tena kwangu. ila mama yangu kagoma kabisaaaaa asinioe.
kisa cha kumkataa ni hiki; alizaa na mwanamke wa kwanza lakini hakufunga naye ndoa wakaachana na yule mwanamke akaolewa. akazaa na mwanamke mwingine hawakungunga ndoa wakaachana yule mwanamke akaolewa. ndipo akafunga ndoa ila hakuzaa na huyo mwanamke mwisho wa siku wakatalikiana. sasa mama yangu kusikia hivo visa akasema huyo mwanaume hafai. upande wangu mimi pia nilizaa na mwanaume mwingine ila hatukuonana na yule mwanaume ameshaoa.
msaada wa mawazo tafadhalini.
Bila shaka Joe karudi tena eenh??
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/295223-naomba-ushauri-wana-jamii-forum.html
Baada ya zoezi la kufanywa nyumba ndogo au mke mwenza kushindikana...
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/478077-kipi-bora-jamani.html