Miaka 7 bila ndoa

Duuh hukutaka hata kujua ameifanyia nini? Kweli mwanaume asipokuwa na hela anakuwa mnyonge sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna tatizo hapo,wenye maamuzi ni wewe na mkeo tu.Unaweza bariki ndoa muda wowote ule iwe ya kidini,kiserikali n.k cha muhimu ni maamuzi yenu nyie wawili tu.Si lazima utoe mahari ndio ufunge ndoa.Na kwa sababu mkeo ulishamzalisha ni wewe na yeye ndio mjadili hilo suala la ndoa,wazazi na ndugu msiwape uzito kwenye hayo maamuzi.Familia yako ni mkeo na watoto wako tu;hao wengine wanafamilia zao,sana sana watakuwa wanawapa ushauri tu.
 
Asante kwa ushauri,ngoja nianze ishawishi tufunge ya kiserikali manake kwenye Dini tupo madhehebu tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole kijana mwenzangu kwa misukosuko na mm nilipitia ayo aisee, sema mim nina wasiwasi na mpenzi wako kama amechukua mkopo alishindwa kukuazima pesa ya kupeleka posa mana navyojua mimi wewe na mkeo kitu kimoja sasa nashindwa kuelewa kama ulimpa nauli ya kwenda kufanya interview na kazi akapata sasa iweje kakopa pesa alafu hashindwe kukukopesha hili ukalipe mahali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyinyi ni dini gani? Kama ni wa Wakatoliki nendeni kwa padri muandikishe ndoa. Mnafunga ya kati kati ya wiki baada ya misa ya kwanza. Nyinyi na mashahidi wenu tu lakini mtaishi kwa haki mbele ya macho ya Mungu.
Ni kweli wanaweza kwenda lakini bado hawajatoa posa hili linaweza likawa lina tatizo au imekaaje !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anafuata msemo wa kwenye biblia kwamba mwanaume atakula kwa jasho so nahisi anasubiri nitusue mwaka wowote ule nitumie hela nliyoitafuta kwa jasho langu kufanya masuala ya mahari na maendeleo mengine ya kifamilia yeye kuniazima ya kwake labda anaona anaenda kinyume na maandiko
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli wanaweza kwenda lakini bado hawajatoa posa hili linaweza likawa lina tatizo au imekaaje !!

Sent using Jamii Forums mobile app
Communication, mnawataarifu wazazi kuwa mambo yamekaa vibaya ila mnaomba baraka za Mungu. unapeleka posa au unaweza kumtuma mshenga akirudi na barua ya mahitaji mnaiweka sandukuni kwanza pesa ikipatikana mna bariki ndoa na sherehe kubwa
 
Mkuu umenichekesha japo ulichoandika hakifurahishi, lakini yote kwa yote pole sana cha msingi kwenye maisha haya ni Afya na uzima Tu mambo Mengine mbwembwe tu Mungu akufanyie wepesi
 

Seriously!!!!
 

Do we need a signed piece of paper to show that you love someone?

Hell nah!
 
Quran inasemaje kuhusu hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…